IBRAHIM KADILO
Mara ya kwanza nilipoona kijiko cha kujaribu ice cream, hatimaye nilikubali kiukweli kuwa wote tuko kwenye mrejeo wa vihatarishi.
Mnunuzi mzuri wa ice cream hujipanga kwenye mstari wa foleni ya watu kujaribu radha tofauti za ice cream. Yote haya ni kuhakikisha radha ya ice cream ambayo hatmaye wajibika kununua hawaiwangashi.
Mrejejo wa vihatarishi katika muundo wa garantii ya uhakika ina maana kama bidhaa au huduma haiwezi kufanya kazi kuleta matokeo kwa mlengwa wako kuwa wewe ndio utakuwa na jambo la kupoteza kuliko walengwa wako.
Hii inahitaji kuwa na nguvu zaid kuliko hali ya kawaida kuwa kama kiziwi kusema kuwa uhakika wa kurudishiwa fedha zako, uhakika wa kumlidhisha mteja.
Kwa kuwa na kitu cha kupoteza kama hakuweza kuleta matokeo una nafasi ndogo sana ya kuuza, utakuwa rahisi kuepuka kelele vichwani mwa walengwa wako.
Hapa ntakupa mfano halisi kama nahitaji kupata kampuni ya masuala ya IT wakwa biashara yangu, kitu cha aina gani naweza kuhofia, hapa ni baadhi ya vitu vichache vinaweza kujitokeza kwenye akili yako,
Je wanaweza kuniletea mtaalam mchanga ambaye anaweza kuchukua masaa mengi kujifunza kuhusu kazi wakati naweza kupata bili kubwa
Je wanaweza kupatikana muda wowote ntakapohitajji msaada wao
Je tatizo watakalo tatua litaendelea kutoakea
Je wanaweza kuniweka njia panda pale ntakapoomba maelezo ya kazi iliyofanya au kuhitajika
garantii ya risk reversal kwa aina ya biashara kama hii inaweza kuwa kama
Tunaku garantii kuwa mtaalam wetu aliyethibitishwa na mzoefu atatua tatizo lako na halitatokea tena, na pia watajibu simu zako kwa dakika tano na mara zote wataznungumza na wewe kwa lugha nzuri
kama tutaacha ahadi yoyote tuliyoweka tufahamishe tutakupa kurudisha mara mbili ya pesa yako kwenye akaunti yako
Kama uko kwenye biashara ya kuuza bidhaa za kuua wadudu waharibifu majumbanJei walengwa wako wanataka kujua kuwa
je wadudu hawatarudi
Je mafundi hawataacha nyumba yako chafu
Je familia yake na wadudu hawataathirika na kemikali
Kwa hiyo garantii kwa walengwa wako inaweza kuwa kama tunakuhakikishia kuondoa nyumbani kwako bila matumizi ya sumu tukiacha nyumba yako safi kama tulivyoikuta kama utakuwa hujaridhika nahuduma tuelekeze tutarudisha mara mbili ya fedha zako.
Kama utakuwa commited kuwapa wateja wako huduma nzuri kuna kuwa hakuna risk na kuwna kuwa hakuna risk kwa walengwa wako.
Mjasiliamali mzuri anaangali biashara yake kutoka kwenye macho ya hofu ya walengwa wake, na kurejea risk zote ili mwelekekeo wa mauzo uweze kuwa rahisi,
Walengwa wako wanahofu zao ukiweza kutaja listi hofu za walengwa wako na kuzigarantii kwenye soko lako unajiweke kwenye nafasi nzuri dhdi ya washindani wako.
Kama utapenda kupata mafunzo haya tuma ujumbe kwenye namba ya whatsapp
ifuatayo au bofya link kujiunga na group letu la mafunzo la whatsapp Kujiunga bure kabisa bofya link hapo chini bure kabisa 👇🏿
https://chat.whatsapp.com/FFRgYyWqp4EKopIGI5IXg1
0744499499