Viungo vya chakula ni muhimu kwa afya na kufanya chakula kuwa na muonekano mzuri na harufu nzuri.

Katika makala haya ntakueleza baadhi ya viungo muhimu kila mpishi anayeanza kutumia viungo vya chakula anapaswa kufahamu kwa faida ya kiafya.

Unga wa kitunguu swaumu halisi, kuwa na unga wa kitunguu swaum ni njia nzuri ya kuongeza radha au kuchanganya na viungo vingine.

Pilipili manga

Kiungo hiki kina flovour nzuri kwa mapishi ya chakula mbalimbali. Kwa matumizi ya mapishi ya vyakula mbalimbali

Hata kama utaamua kutumia  Zaatar (thyme)

Kiungo hiki kina radha nzuri kwa kuongeza kwenye mapishi ya nyama na Mchuzi unaweza kuongeza pia kwenye maboga mboga.

Binzari manjano

Kiungo hiki ni kwa vyakula vyenye radha tamu, tumia kwa kiwango kwenye chakula, pili, nyanya, sisi na bidhaa zingine.

Binzari nyembamba

Kiwango kidogo cha kiungo hiki kinaweza kuongeza radha isiyotarajiwa kwenye mapishi  kama mayai au nyama ya kusagwa

Kungumanga

Kungumanga inafanya vizuri kwa vyakula vyenye ladha tamu na vyakula vikavu inatumika sana kwenye vitu vitamu.

Samaki wa kukaangwa kwa viungo vya chakula

Vyakula vya mboga mboga.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *