
Bango la TANROAD lililoko maeneo ya Mbezi Luis kwenye mzunguko wa barabara ya kutoka Goba na ile ya Morogoro limekuwa likisababisha usumbufu mkubwa kwa watu kwa kuwa halielekezi bali linapotosha watu.
Morningstar Post imeweza kunasa picha ya bango hilo kama linavyoonesha.