NA MWANDISHI WETU
Wanawake wengi wanashindwa kufanya nywele zao kama sehemu muhimu ya urembo wao, kwani nywele asilia zinaonekana kama kiashiria cha kujipenda na kujiamini.
Ukishindwa kujipenda kwa kujali nywele zako mwanamke unakosa kabisa mvuto kwa wanaume wengi, kwani wanaume wengi wanapenda wanawake wenye nywele asilia, wakiona kuwa ni ishara ya uhalisia na uzuri wa asili.
Mwanamke mwenye kutokujipenda hajali nywele zake hivyo anaendelea kuishi kwa kutokujiamini maisha yake yote anayafanya maisha kuwa magumu kwake.
Habari njema kuwa kwenye group hili, leo tuta-share na wewe baadhi ya aina ya mitindo ambayo ukisuka inafanya nywele zako kuwa za asili na kukua na kujaa vizuri.
Braids
Husaidia kulinda nywele na kuzuia kukatika.
Twists
Ni njia nzuri ya kuongeza urefu bila kuathiri muonekano wa asili wa nywele.
Bantu Knots
Hutoa muonekano mzuri huku ikilinda nywele.
Vipipi
Inasukwa masaa matatu, inadumu miezi mitatu hadi mitano, inajaza sana nywele, ni
rahisi sana kuitunza, na haikati nywele.
Vinyuki
Inasukwa masaa manne hadi nane inategemea na umesuka size gani, inauma kidogo, inakuza nywele sana na kujaza nywele.
0765868582