

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara yake baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kigoma leo tarehe 14 Julai, 2024 tayari kuanza ziara ya siku tano katika Mikoa ya Kanda ya Ziwa ya Kigoma, Kagera, Mwanza na Shinyanga kwa ajili ya kukagua Miradi ya Ujenzi wa Minara ya Mawasiliano.
(Picha kwa hisani ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari)