Na MWANDISHI WETU
KUELEKEA katika mchezo wa Leo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026 kati ya Tanzania dhidi ya Morocco, nyota wa Waarabu hao anayekipiga PSG ya Ufaransa, Achraf Hakiki amesema Tanzania ni timu nzuri na ina wachezaji wazuri, lakini amekiri kuwa mshambuliaji na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ni mchezaji hatari.
Taifa Stars inashuka dimbani leo saa 4:00 usiku kumenyana na Morocco, ukiwa ni mchezo wa pili wa Kufuzu Fainali hizo.
Akizungumzia mchezo huo,Hakimi alisema, itakuwa mechi ngumu kwao kwani Tanzania ni inawazaji wazuri ingawa anamfahamu Samatta tu.
βTunajua kikosi chote cha timu ya Tanzania ni kizuri, wachezaji wote ni wazuri lakini pia nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta ni mchezaji mzuri, mimi binafsi namfahamu.β
βTumejiandaa kupambana na timu nzima, lazima tucheze kwa uangalifu mkubwa ili tuweze kupata alama tatu,” alisem
Β
