Na Mwandishi Wetu

KATIKA hali ya kutatanisha na kufedhehesha, safari iliyoanza kwa faragha, imebadilika kuwa dhihaka na masimango unayosadikiwa kusababisha wasi wasi na kufa kwa mwenza wa mwanamke mmoja Jijini Dar es Salaam mwenye asili ya Kihindi.

Mwanamke huyo ambaye alidhalishwa kwa kushiriki kwenye mapenzi ya wanawake zaidi ya wawili iliyomuhusisha mfanyabiashara huyo (jina tunalihifadhi kwa sasa).

Safari ya kifo cha mwenza wa mwanamke huyo kilianza kwenye hoteli moja maarufu iliyoko mtaa wa Bibi Titi Dar es Salaam.

Chanzo cha habari hizi kinasema kuwa mfanyabiashara huyo anadaiwa kudhalilisha wanawake kwa kushiriki kwenye mapenzi ya kikundi na kuwapiga picha za uchi na kuzisambaza.

Inasadikika baada ya picha hizo za ngono kuonekana hadharani mmoja wa mwenza wa wanawake hao ilipelekea kupata msongo wa mawazo na presha iliyopelekea kifo chake.

Uchunguzi unaendelea kuhusu tukio hilo.

Habari kamili itaendelea…….

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *