



Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa akiwa katika picha ya pamoja na makundi mbalimbali ya Wajumbe wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Taifa – TBC kilichofanyika ltarehe 20 Septemba, 2024 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma



Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Stephen Kagaigai na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Dkt. Ayub Rioba Chacha mara baada ya kufungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TBC kilichofanyika tarehe 20 Septemba, 2024 katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma.