WAZIRIi wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Nape Nnauye (Mb) akiwa pamoja na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Bi. Justina Mashiba wakiwa kwenye boti ya mwendokasi Ziwa Viktoria kuelekea kukagua mnara wa VODACOM uliopo katika Kata ya Chifunfu, Kijiji cha Chifunfu, Kisiwa cha Lyakanyasi, Sengerema mkoani Mwanza tarehe 18, Julai 2024 katika ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi wa minara ya Mawasiliano mkoani humo.

((Picha kwa hisani ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *