Na Mwandishi Wetu

TAASISI ya Saratani Ocean Road katika kuadhimisha siku ya Saratani Duniani ambayo huadhimishwa Februari 4 pamoja huduma ya uchunguzi wa saratani kwa wananchi wote kwenye viwanja vya Zakhiem Mbagala, jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo ni Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambaye atazungumza kuhusiana na hali halisi ya saratani nchini na hatua zilizochukuliwa na serikali katika utoaji wa huduma.

Kwenye maadhimisho hayo uchuguzi utaofanyika utaofanyika uchunguzi wa wa awali saratani ya mlango wa kizazi, Saratani ya Matiti pamoja na Saratani ya Tezi dume.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *