Na Mwandishi Wetu, Dodoma

MAKAMU Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana (UVCCM) Taifa, Rehema Omary Sombi (MNEC), amewakabidhi vijana 16 walioshinda tuzo na zawadi mbalimbali za fedha, kutokana na uandishi wa insha kuhusu Uhusiano wa Afrika na China hasa Tanzania na China kwa miaka 10 tangu Xi Jinping’s alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza 2013.

Vijana wa UVCCM wakiongozwa na Katibu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa, Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Taifa, Emanuel Martine ambaye nae alishiriki kuandika, wajumbe wawili wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa, Viongozi wa UVCCM Wilaya,

Maafisa wa Chama Cha Mapinduzi CCM kutoka UVCCM Makao Makuu na CCM Makao Makuu na vijana wengine mbalimbali wa CCM wamekabidhiwa  tarehe 23.11.2023 zawadi zao kutoka Chama cha Kikomunisti cha China katika Ofisi za Makao Makuu ya UVCCM Dodoma.

Shukrani kwa CCM  na UVCCM  kwa fursa , na Chama cha Kikomunisti.

 



Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *